Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Lakini inajulikana sisi ndo huongea kiswahili pure na perfect
Kimewasaidia nini ? Kuongea peferct and pure wakati wanaotangaza kwa kiswahili kwenye ndege za Qatar na Emirates ni wakenya. Baki kujisifia unaongea perfect and pure. Mombasa nao waseme nini ?
 
Kimewasaidia nini ? Kuongea peferct and pure wakati wanaotangaza kwa kiswahili kwenye ndege za Qatar na Emirates ni wakenya. Baki kujisifia unaongea perfect and pure. Mombasa nao waseme nini ?
Kwa nn hao wakenya wako hawakuchukuliwa kwenda kufundisha kiswahili Afrika kusini na Ethiopia? Kama hakitusaidii sisi.
 
Kwa nn hao wakenya wako hawakuchukuliwa kwenda kufundisha kiswahili Afrika kusini na Ethiopia? Kama hakitusaidii sisi.
Hujui kama wakenya ndo walikwenda South ? Kuna watanzania wamekwenda South na Ethiopia ? Au unaamini maneno ya Kabudi ? Hadi huruma,hili taifa lina safari ndefu kwa kweli.
 
Sio ujuaji bwana Mkuu

Binafsi yangu naonaga tuu ni mtu mwenye exposure na vitu mbali mbali
Na ndio hupelekea kuonekana kufahamu vitu vingi and simply we call her mjuaji Na mbona Hii hata mtaani( Ofisini, Vyuoni nk) , ipo hii ukiwa una ufahamu na vitu vingi unaonekana mjuaji Au unajifanya unajua
Naongea uongo ?

So hata humu Jf wala si ajabu kuitwa mjuaji.

Pancho boy isidingo si wamesitisha production Mkuu Au isidingo gani [emoji3] [emoji3]
Kwanza kabisa ulisema huwezi kuongea na mtu anayeitwa Boy..
So nami siwezi ongea wala jibizana nawe maana ulishaharibu maana nzima ya hii debate kwa kunishambulia Mimi binafsi..

Isidingo inaoneshwa kila siku wapo kwenye process za kusitisha lakini bado ipo..
 
Bora nimwage mchele chini, nianze kuokota punje moja moja... Kuliko kupoteza muda kuangalia ushenzi..
ET simba anaitwa Mustafa..

Punguzaga ujuaji yeye Ramos hajasema Kama katoa huo msemo kwenye hiyo movie.
Ila wewe unashoboka "kaitoa humo nna uhakika "

Bure kabisa..
Usiseme Mustafa, sema Mufasa.

Sent using mazonge yamezidi
 
pancho boy una ulivyo kilaza. Sasa niwakimbie ili iweje ? Unadhani maisha yangu ni JF tu?Nisipokuwepo basi nimekimbia. Kuna maisha zaidi ya JF bwana. Kamwe siwezi kimbia mtu.
Au huna backup kwa sasa? 😀😀
Maisha yako ni jf ndo unapotaka kuvimbia watu huku kuaminisha eti wewe ni mwanasayansi.. 😀

Huwaga nakuonaga ni nyumbu kule kwenye soka ndo kabisaa bora hapa..
 
Back
Top Bottom