Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
pancho boy una ulivyo kilaza. Sasa niwakimbie ili iweje ? Unadhani maisha yangu ni JF tu?Nisipokuwepo basi nimekimbia. Kuna maisha zaidi ya JF bwana. Kamwe siwezi kimbia mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishatoka 1994.Vilaza wote nyie.Waje wanaobisha nikikuita the most intelligent woman in JF. Point ni ileile, FACTS.
Sio ujuaji bwana MkuuBaada ya kuwashika kwa uongo na ujuaji wao Victoire na Daud1990 ..toka mwanzo, akaanza daud kunitukana baada ya kumwambia ukweli.. Kibaya zaidi alitoka nje Mada.
Swala sio kubisha kuwa hiyo movie hawatumii huo msemo..
Ila ni victoire kujifanya mjuaji.. Kwamba anajua mpaka yaliyo moyoni mwa mtu [emoji3][emoji3]
All in all wakaanza kunitukana lakini @reyzap akwaambia mwenzao anamaanisha anashukuru kwa kumaliza mwaka bila kadi nyekundu ila wao wamekazana yao..
Ubao ukageuzwa kuanza kunishambulia Mimi binafsi badala ya kujikita kwenye Mada. Kama Mimi.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Nashukuru Sana acha nikaangalie isidingo sasa..
[emoji3][emoji3]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23]
Kuna watu humu wapo shallow kama.Hawawezi hata kuimagine na kuona vitu vingine vipo wazi kabisa.Sio ujuaji bwana Mkuu
Binafsi yangu naonaga tuu ni mtu mwenye exposure na vitu mbali mbali
Na ndio hupelekea kuonekana kufahamu vitu vingi and simply we call her mjuaji Na mbona Hii hata mtaani( Ofisini, Vyuoni nk) , ipo hii ukiwa una ufahamu na vitu vingi unaonekana mjuaji Au unajifanya unajua
Naongea uongo ?
So hata humu Jf wala si ajabu kuitwa mjuaji.
Pancho boy isidingo si wamesitisha production Mkuu Au isidingo gani [emoji3] [emoji3]
Mimi kilaza lakini sijawahi kuwa na mtu wa "system" aliyenambia kuwa jiwe kafa kama ulivotufunga kamba siku ile. Kuwa well informed na kutoa taarifa za kudhania ni vitu viwili tofauti mno.Ilishatoka 1994.Vilaza wote nyie.
Ni wapi nilisema Jiwe kafa ? Kacheck kumbukumbu zako vizuri.Mimi kilaza lakini sijawahi kuwa na mtu wa "system" aliyenambia kuwa jiwe kafa kama ulivotufunga kamba siku ile. Kuwa well informed na kutoa taarifa za kudhania ni vitu viwili tofauti mno.
Ndiyo zimeupeleka to the world hadi Ramos akaufahamu.Ki uhalisia msemo wa 'hakuna matata' upo toka zamani sana haujaanzishwa na hizo animation za lion king. Labda zimesaidia ku upush!
Yes ni mjuaji sijakataa najaua mambo mengi mno ambayo wewe huyajui.
Hiyo ni kawaida kupost slogan ya hakuna matata. Nashangaa wewe uliyeona ni news.Kuna watu Sergio kupost kiswahili wamekasirika sana
Haujaona emojis za Simba hapo ?Mbona umetumika kwenye Muvi nying tu ata ile ya Mr. Bones (Sauzi) wameutumia wewe umejiaje ni Lion King au Mliangalia wote?...ujuaji tu
Ndiyo zimeupeleka to the world hadi Ramos akaufahamu.
Haujaona emojis za Simba hapo ?
Box lipi ?Jaribu kufikiri nje ya box
Sasa umekasirika au.... Nashangaa uzi toka page ya kwanza hadi hii ya saba ni wewe tu unatrend... Kisa? Kumuonea wivu Ramos alivyopost kiswahili.Hiyo ni kawaida kupost slogan ya hakuna matata. Nashangaa wewe uliyeona ni news.
La kupigia kuraBox lipi ?
Unashangaa nini sasa. Kwani umeniwekea Bando ?Kashangae baharini shilingi inazama,meli inaelea.Sasa umekasirika au.... Nashangaa uzi toka page ya kwanza hadi hii ya saba ni wewe tu unatrend... Kisa? Kumuonea wivu Ramos alivyopost kiswahili.
Sishangai kutrend kwako... Nashangaa kilichokufanya utrend... Wivu...Acha wivu na kutukana watuUnashangaa nini sasa. Kwani umeniwekea Bando ?Kashangae baharini shilingi inazama,meli inaelea.
Lakini inajulikana sisi ndo huongea kiswahili pure na perfect...hayo mengine extra tuMara nyingi kiswahili kimekuwa kikirejewa kwamba ni toka kenya.Nafikiri hii kwasababu movie nyingi zinachezewa Kenya ukilinganisha na Tanzania.Na hii nikwa sababu kuna sheria nyingi kuwabana makampuni yanayotaka kutumia location za Tanzania.Hii yanikumbusha kuusadiki uzi wa member mmoja kuhusu UKAKASI uliopo pindi wanapohitaji kufanya filamu nchini.Sasa iyo HAKUNA MATATA ni swahili toka Kenya mbaya zaidi na Kiswahili chenyewe lazima uikute Kenya yakwanza Kuainishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app