Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

pancho boy una ulivyo kilaza. Sasa niwakimbie ili iweje ? Unadhani maisha yangu ni JF tu?Nisipokuwepo basi nimekimbia. Kuna maisha zaidi ya JF bwana. Kamwe siwezi kimbia mtu.
 
Baada ya kuwashika kwa uongo na ujuaji wao Victoire na Daud1990 ..toka mwanzo, akaanza daud kunitukana baada ya kumwambia ukweli.. Kibaya zaidi alitoka nje Mada.

Swala sio kubisha kuwa hiyo movie hawatumii huo msemo..
Ila ni victoire kujifanya mjuaji.. Kwamba anajua mpaka yaliyo moyoni mwa mtu [emoji3][emoji3]

All in all wakaanza kunitukana lakini @reyzap akwaambia mwenzao anamaanisha anashukuru kwa kumaliza mwaka bila kadi nyekundu ila wao wamekazana yao..

Ubao ukageuzwa kuanza kunishambulia Mimi binafsi badala ya kujikita kwenye Mada. Kama Mimi.. [emoji3][emoji3][emoji3]

Nashukuru Sana acha nikaangalie isidingo sasa..
[emoji3][emoji3]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sio ujuaji bwana Mkuu

Binafsi yangu naonaga tuu ni mtu mwenye exposure na vitu mbali mbali
Na ndio hupelekea kuonekana kufahamu vitu vingi and simply we call her mjuaji Na mbona Hii hata mtaani( Ofisini, Vyuoni nk) , ipo hii ukiwa una ufahamu na vitu vingi unaonekana mjuaji Au unajifanya unajua
Naongea uongo ?

So hata humu Jf wala si ajabu kuitwa mjuaji.

Pancho boy isidingo si wamesitisha production Mkuu Au isidingo gani [emoji3] [emoji3]
 
Kuna watu humu wapo shallow kama.Hawawezi hata kuimagine na kuona vitu vingine vipo wazi kabisa.
 
Mimi kilaza lakini sijawahi kuwa na mtu wa "system" aliyenambia kuwa jiwe kafa kama ulivotufunga kamba siku ile. Kuwa well informed na kutoa taarifa za kudhania ni vitu viwili tofauti mno.
Ni wapi nilisema Jiwe kafa ? Kacheck kumbukumbu zako vizuri.
 
Ki uhalisia msemo wa 'hakuna matata' upo toka zamani sana haujaanzishwa na hizo animation za lion king. Labda zimesaidia ku upush!
Ndiyo zimeupeleka to the world hadi Ramos akaufahamu.
 
Hiyo ni kawaida kupost slogan ya hakuna matata. Nashangaa wewe uliyeona ni news.
Sasa umekasirika au.... Nashangaa uzi toka page ya kwanza hadi hii ya saba ni wewe tu unatrend... Kisa? Kumuonea wivu Ramos alivyopost kiswahili.
 
Mara nyingi kiswahili kimekuwa kikirejewa kwamba ni toka kenya.Nafikiri hii kwasababu movie nyingi zinachezewa Kenya ukilinganisha na Tanzania.Na hii nikwa sababu kuna sheria nyingi kuwabana makampuni yanayotaka kutumia location za Tanzania.Hii yanikumbusha kuusadiki uzi wa member mmoja kuhusu UKAKASI uliopo pindi wanapohitaji kufanya filamu nchini.Sasa iyo HAKUNA MATATA ni swahili toka Kenya mbaya zaidi na Kiswahili chenyewe lazima uikute Kenya yakwanza Kuainishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini inajulikana sisi ndo huongea kiswahili pure na perfect...hayo mengine extra tu
 
Back
Top Bottom