Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Yes polepole wanaume halisi wanaanza kuonekana.
Sio wale wa kupigiwa upatu au wale wenye wachezaji wenye majina makubwa. Alianza Juve, watu wakatuaminisha hana mpinzani Serie A ni kweli wachezaji alionao tema mate chini ila tunavyoendelea watu wanaona ukweli halisi. Japo bado ni timu bora.
Akaja Inter mbwembwe kibaao. Kweli akawa anashusha vipigo. Watu tukasema duh kweli Juve kapata mpinzani. Watu tukaweka karata Juve akiteleza basi Inter anabeba. Ubingwa ukawa wa raia wawili kwamba Serie A ni nyepesi hivyo.
Haya ligi imechanganya. Wanaume wakaibuka, Lazio hao. Hawa watu wananyoosha ni ndole aisee. Immobile na wahuni wenzie, Inter jana hoi Juve imebaki pointi moja tu. GD yao inatisha. Wana thelathini na kitu hivi. Kumi zaidi ya Juve au Inter. Watu washaanza badili mawazo. Juve na Inter akili ndo zinarudi kumbe serie A si Ligue 1. Na sasa tunatangaza rasmi tunautaka ubingwa.
#TeamLazio
#ImmobileSavic
#LondonIsRed.