Serie A kunoga: Wanaume wanaanza kuonekana sasa

Serie A kunoga: Wanaume wanaanza kuonekana sasa

Magoli aliyofunga msimu huu serie A hadi sasa ambapo msimu upo katikati alishayafikisha tena msimu gani huko nyuma? Lazio mara ya mwisho kuwa wa pili ni lini? Mara ya mwisho Lazio kumuacha GD kumi juve ni lini...Halafu unasema hiyo ni kawaida kwa Lazio!!! Kweli?
Kacheki gemu ya Lazio mzee... Watu wanapiga boli..,wamedhamiria.
Mfano ronaldo au Messi akifunga magoli 200 msimu basi watakuwa wamejulikana msimu huu sababu wamefunga magoli mengi zaidi?

Immobile kwa wapenda soka ni mchezaji maarufu sana toka kabla hajaenda Dortmund. Na ukishakuwa mfungaji bora wa top 5 league za ulaya tayari wewe ni maarufu.
 
Mfano ronaldo au Messi akifunga magoli 200 msimu basi watakuwa wamejulikana msimu huu sababu wamefunga magoli mengi zaidi?

Immobile kwa wapenda soka ni mchezaji maarufu sana toka kabla hajaenda Dortmund. Na ukishakuwa mfungaji bora wa top 5 league za ulaya tayari wewe ni maarufu.
Labda niseme hivi;

Alivyokuwa top scorer serie A msimu unaofuata ndo akaenda Dortmund. Ni hicho kipindi ndo nikamjua jamaa na nikaanza kumfuatfilia ndo maana nikasema mm nimemjua vzr akiwa Dortmund ila tukiweka hayo kando, jamaa kawa popular zaidi timu yake ya sasa hasa baada ya kufunga sana misimu ya karibuni. Alivyohama Torino mambo yake hayakuwa mazuri na hii ilimpelekea kupotea kwa kiasi fulani hadi pale alipoibuka tena ndani ya Uzi wa Lazio.
 
Hili kombe ni la Inter milan. Na sababu ipo moja tu. Historia aliyonayo Antonio Conte. Conte hajawahi kushindwa kuchukua ubingwa msimu wa kwanza Tangu akiwa Juve na Chelsea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hii ligi tangu lile sekeseke la kukatwa points daah ligi ikaharibika kabisa.
Nikakata tamaa na kuacha kuitazama. Miaka ya mwanzoni 2000 Serie A ilikua tamu jamani dah mafundi wa soka kama wote. Namkumbuka muUruguay Alvaro Recoba fundi!

Ah zamani raha!
 
Msimu huu hawajakutana kwan? Lazio vs Napoli

Wewe kiazi kweli nyie si mmesema Lazio alikuwa bora kuliko Napoli last two season hapo nimekuonesha msimamo wa hiyo musimu miwili ya mwisho pamoja na H2H amabapo kwenye hizo match nne Lazio hajaambulia hata point moja kafungwa mach zote home and away.
 
Wewe kiazi kweli nyie si mmesema Lazio alikuwa bora kuliko Napoli last two season hapo nimekuonesha msimamo wa hiyo musimu miwili ya mwisho pamoja na H2H amabapo kwenye hizo match nne Lazio hajaambulia hata point moja kafungwa mach zote home and away
Nimesema wap Lazio alikuwa bora kuliko Napoli last two seasons? Nionyeshe hiyo post
 
Yani bora hata ungefungua thread kuhusu Atalanta kuliko hao Lazio waliotolewa europa wakifungwa kina Celtic
Kwan nan yupo juu ya mwenzake kati ya Lazio na Atalanta katika msimamo wa ligi?
 
Back
Top Bottom