Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
- Thread starter
- #41
Msimu huu hawajakutana kwan? Lazio vs NapoliWewe na huyo ketone hamjui kituView attachment 1361399View attachment 1361400View attachment 1361414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu huu hawajakutana kwan? Lazio vs NapoliWewe na huyo ketone hamjui kituView attachment 1361399View attachment 1361400View attachment 1361414
Haha jidanganye
Mfano ronaldo au Messi akifunga magoli 200 msimu basi watakuwa wamejulikana msimu huu sababu wamefunga magoli mengi zaidi?Magoli aliyofunga msimu huu serie A hadi sasa ambapo msimu upo katikati alishayafikisha tena msimu gani huko nyuma? Lazio mara ya mwisho kuwa wa pili ni lini? Mara ya mwisho Lazio kumuacha GD kumi juve ni lini...Halafu unasema hiyo ni kawaida kwa Lazio!!! Kweli?
Kacheki gemu ya Lazio mzee... Watu wanapiga boli..,wamedhamiria.
Labda niseme hivi;Mfano ronaldo au Messi akifunga magoli 200 msimu basi watakuwa wamejulikana msimu huu sababu wamefunga magoli mengi zaidi?
Immobile kwa wapenda soka ni mchezaji maarufu sana toka kabla hajaenda Dortmund. Na ukishakuwa mfungaji bora wa top 5 league za ulaya tayari wewe ni maarufu.
Unbeatable. Nimeihifadhi hii.Ndiyo, tena mnachagua timu ambazo hata UEFA haziko ili kukwepesha msije kutana na The Unbeatable Ones.
Hiyo bado japo nao nawaona mdogomdogoHaya karibuni Serie A...
Iko siku mtaiongelea AC Milan baba la mafanikio
Endelea kutamani mkuuNatamani kwa msimu huu kombe liende inter au Lazio na isiwe Junvetus
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamuacha Lazio pointi ngap?
Hata jando lilikuwa govi, usikate tamaaHiyo bado japo nao nawaona mdogomdogo
Unapoteza muda wako wa bure mkuu kubishana na hilo zezetaWewe kila mtu anakwambia wewe ni mtoto humu...Na mimi nasisitiza acha utoto dogo wa tisini wewe usibishane na wakubwa zako.
Lazio wala sio kitisho kwetu katika kubeba ubingwa wa serie A kwa kifupi hakuna timu ya kumpa presha Juve pale serie AMnamuacha Lazio pointi ngap?
Wewe ndo umesema hivyo. Lazio ni tishio serie A kwa sasa.Lazio wala sio kitisho kwetu katika kubeba ubingwa wa serie A kwa kifupi hakuna timu ya kumpa presha Juve pale serie A
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu hawajakutana kwan? Lazio vs Napoli
Nimesema wap Lazio alikuwa bora kuliko Napoli last two seasons? Nionyeshe hiyo postWewe kiazi kweli nyie si mmesema Lazio alikuwa bora kuliko Napoli last two season hapo nimekuonesha msimamo wa hiyo musimu miwili ya mwisho pamoja na H2H amabapo kwenye hizo match nne Lazio hajaambulia hata point moja kafungwa mach zote home and away
Kwan nan yupo juu ya mwenzake kati ya Lazio na Atalanta katika msimamo wa ligi?Yani bora hata ungefungua thread kuhusu Atalanta kuliko hao Lazio waliotolewa europa wakifungwa kina Celtic
Kwa hiyo mtu akisema hawa Lazio ni wazuri kuliko Napoli yamwaka jana(last season) anamaanisha Lazio alikuwa bora kuliko Napoli misimu miwili iliyopita?