Serie A kunoga: Wanaume wanaanza kuonekana sasa

Serie A kunoga: Wanaume wanaanza kuonekana sasa

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Yes polepole wanaume halisi wanaanza kuonekana.

Sio wale wa kupigiwa upatu au wale wenye wachezaji wenye majina makubwa. Alianza Juve, watu wakatuaminisha hana mpinzani Serie A ni kweli wachezaji alionao tema mate chini ila tunavyoendelea watu wanaona ukweli halisi. Japo bado ni timu bora.

Akaja Inter mbwembwe kibaao. Kweli akawa anashusha vipigo. Watu tukasema duh kweli Juve kapata mpinzani. Watu tukaweka karata Juve akiteleza basi Inter anabeba. Ubingwa ukawa wa raia wawili kwamba Serie A ni nyepesi hivyo.

Haya ligi imechanganya. Wanaume wakaibuka, Lazio hao. Hawa watu wananyoosha ni ndole aisee. Immobile na wahuni wenzie, Inter jana hoi Juve imebaki pointi moja tu. GD yao inatisha. Wana thelathini na kitu hivi. Kumi zaidi ya Juve au Inter. Watu washaanza badili mawazo. Juve na Inter akili ndo zinarudi kumbe serie A si Ligue 1. Na sasa tunatangaza rasmi tunautaka ubingwa.

#TeamLazio
#ImmobileSavic
#LondonIsRed.
 
Wewe unachobisha ni nini... Watu wengi Ciro wamemjulia Lazio... Acha kupanic kindezndez kijana

Kweli ujui kitu wewe Ciro tunamjua akiwa anakiwasha Torino ndo Dortmund wakamnunua akachemsha akaenda Sevilla on loan with buy option akachemsha akapelekwa Torino on loan ndio akanunuliwa na SS Lazio
 
Kweli ujui kitu wewe Ciro tunamjua akiwa anakiwasha Torino ndo Dortmund wakamnunua akachemsha akanda Sevilla on loan with buy option akachemsha akapelekwa Torino on loan ndio akanunuliwa na SS Lazio
Wengi hawajui kama wewe. Huku kitaa wengi wamemjua Ciro akiwa hapo Lazio. Angalia hizo timu ulizotaja ni ipi alivuka goli kumi tofauti na Torino. Sasa huku bongo nan aache kufuatilia mastraika wakali wa ligi pendwa aanze kumfuatilia Ciro wa kipindi hicho. Wewe usianze kunitajia kunionyesha umwamba coz na mimi nazijua vizuri tu.
 
Back
Top Bottom