Serie A kunoga: Wanaume wanaanza kuonekana sasa


Immobile kabla yakwenda BVB alifunga magoli 22 kwenye ligi na kuwa top score. Alafu Lazio hajafanya kitu kipya chakushangaza mpaka ufungue uzi bora ata ungefungua uzi kuhusu Atalanta Bergamasca.
 
Immobile kabla yakwenda BVB alifunga magoli 22 kwenye ligi na kuwa top score. Alafu Lazio hajafanya kitu kipya chakushangaza mpaka ufungue uzi bora ata ungefungua uzi kuhusu Atalanta Bergamasca
Ok hadi sasa ndiye top scorer wa ligi zote ulaya kwa sasa akiwa na 26 goals akikusanya jumla ya pointi 52 katka magoli hayo...kingine?
 
Msimu huu bingwa wa Seria A ni InterMilan. Team imekamilika kila idara. Kama unabisha subiri uone

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la inter akikutana na Juve au Lazio hata Roma anakuwa na asilimia kubwa ya kuacha point

Wakat Lazio au Juve ukikaa vibaya unakula za chembe

Juve msimu huu kakutana na Lazio Mara 2 kachezea zote ,bado game moja ya Juve na Lazio ya ligi

Inter ujinga wake ni huo

Ubingwa unafukuziwa na Lazio kimya kimya
 
Alichezea Torino akafunga mabao 22....je kati ya hicho kipindi na hichi cha sasa,Ni kipi watu wamemjua zaidi huyu mwamba?

Hamna kipya kwa Ciro wala Lazio misimu ya karibuni kiwango chao huwa hivyo labda msimu huu wajitahidi waende uefa.Sijaona wakumzuia Juve kuchukua scudetto
 
Hamna kipya kwa Ciro wala Lazio misimu ya karibuni kiwango chao huwa hivyo labda msimu huu wajitahidi waende uefa.Sijaona wakumzuia Juve kuchukua scudetto
Magoli aliyofunga msimu huu serie A hadi sasa ambapo msimu upo katikati alishayafikisha tena msimu gani huko nyuma?

Lazio mara ya mwisho kuwa wa pili ni lini? Mara ya mwisho Lazio kumuacha GD kumi juve ni lini...Halafu unasema hiyo ni kawaida kwa Lazio!!! Kweli?

Kacheki gemu ya Lazio mzee. Watu wanapiga boli, wamedhamiria.
 
Hamna kipya kwa Ciro wala Lazio misimu ya karibuni kiwango chao huwa hivyo labda msimu huu wajitahidi waende uefa.Sijaona wakumzuia Juve kuchukua scudetto
Hata hao juve unaowapigia upatu nao walikalia tatu - moja supercup... Tukubali tu hawa wanaume kwa sasa wapo fiti.
 

Hujui kitu huo mpira wanaocheza Lazio unachezwa na Napoli na Atalanta na haujaanza msimu huu Juventus huwa anazidiwa GD karibu kila msimu
 
Jamani Msisahau Kumsifi Simon Inzaghi, ni Upcoming Kocha atakae sumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…