Wengi hawajui kama wewe.. Huku kitaa wengi wamemjua Ciro akiwa hapo Lazio...Angalia hizo timu ulizotaja ni ipi alivuka goli kumi tofauti na Torino..... Sasa huku bongo nan aache kufuatilia mastraika wakali wa ligi pendwa aanze kumfuatilia Ciro wa kipindi hicho... Wewe usianze kunitajia kunionyesha umwamba coz na mimi nazijua vizuri tu.
Immobile kabla yakwenda BVB alifunga magoli 22 kwenye ligi na kuwa top score. Alafu Lazio hajafanya kitu kipya chakushangaza mpaka ufungue uzi bora ata ungefungua uzi kuhusu Atalanta Bergamasca.