Wa kwanza kanitimulia vumbi liingilie puani.
Wa pili kaongea na simu sikioni mwangu
wa tatu kanitamanisha chakula kiingine mdomoni mwangu
mwingine kanishika mwili wangu.
Wa tano kataka nimwoneshe jambo ambalo halioni.
Hao ndio watu ninaoishi nao.
Sikukuu ya kesho inaweza isiwe njema hasa jiji la Dar. Kuna hatari ya vikundi vya wahuni kupora mali za watu na kufanya mambo ya kikatili.
Ni bora kesho ukapumzika nyumbani mapema.