Series: Maisha na Muziki

Series: Maisha na Muziki

Wa kwanza kanitimulia vumbi liingilie puani.
Wa pili kaongea na simu sikioni mwangu
wa tatu kanitamanisha chakula kiingine mdomoni mwangu
mwingine kanishika mwili wangu.
Wa tano kataka nimwoneshe jambo ambalo halioni.
Hao ndio watu ninaoishi nao.
 
Hiyo ni milango mitano ya fahamu na kila jambo lina maana yake.
Mi nawatazama tu. Na kuna yapo majaribio yaliyofeli
 
Wamepanga waniletee polisi wanikamate. Wanataka nikae ndani mpaka jumanne.
Nawatazama tu.
 
Sikukuu ya kesho inaweza isiwe njema hasa jiji la Dar. Kuna hatari ya vikundi vya wahuni kupora mali za watu na kufanya mambo ya kikatili.
Ni bora kesho ukapumzika nyumbani mapema.
 
Leo kutakua na kikao cha wakubwa na wadogo jioni
 
Nimekutana na wahusika na tumefanya kikao. Kwa hiyo shirika limeanza rasmi shughuli zake.
 
Kama kuna mabadiliko yeyote ama tangazo lolote iwe kikao au uchaguzi basi ntaweka taarifa hapa na si kwingineko.
 
Huo wimbo wa bijou umetumwa huku kimakosa. Unatakiwa uende kwenye uzi ule wa me & you.
 
Natangaza ya kwamba. Shirika linasimamisha shughuli zake mpaka pale maridhiano yatakapofikiwa. Bado kuna vitu sijakabidhiwa.
 
Sharo milionea ft Dully sykes - chuki bure
 
Kuna harufu mbaya nainusa inatokea njombe, imeletwa na kijana mmoja bwana mdogo. Inaweza ikaleta matatizo siku za hivi na ikazua taharuki.
 
Back
Top Bottom