fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wana kwa wanaHuu uzi ni wa mtu na demu wake au ?
Crazy gk - sauti ya manka1. Darassa - Muziki
2. Dully sykes - Bongo fleva
3. Chid benz - Dar es salaam stand up
Halafu uanze kulialia😃ila hii chizoba ntaiskiza hadi asubuhi
Mkuu unaweza kuattach audio tuziskize hapahapa... Kama inawezekana lakiniCrazy gk - sauti ya manka
J nature - mtoto idi
Ay - yule
Fa - unaowa lini
Mandojo n domo - dingi
Kikosi cha mizinga- amazangu ama zao
Sister p - achana nao
Banana zoro - mama yangu
Roma - mechi za ugenini
Joslin - niite basi
Tunda man - neila
Fid q - mwanza
Aisee, ni shidaaaah
Achana na hizo, utaanza kujitengenezea fake scenarios utajiliza mpaka basi😃nimetengeza ka playlist haf nimeweka nyimbo 2 tu. kuna chizoba na utu ya Ali kiba.
ndo nimelala nazo na kuamka nazo na bado naskiza mpaka muda huu.
Zuchu SUGAR SUCARI