Series: Maisha na Muziki

Series: Maisha na Muziki

1. Darassa - Muziki
2. Dully sykes - Bongo fleva
3. Chid benz - Dar es salaam stand up
Crazy gk - sauti ya manka
J nature - mtoto idi
Ay - yule
Fa - unaowa lini
Mandojo n domo - dingi
Kikosi cha mizinga- amazangu ama zao
Sister p - achana nao
Banana zoro - mama yangu
Roma - mechi za ugenini
Joslin - niite basi
Tunda man - neila
Fid q - mwanza
Aisee, ni shidaaaah
 
Leejay49 zile nyimbo za jana uzotaka kuzituma zitume tu muda wowote sio mpaka niwe online.

mara nyingi mchana sishiki simu mara kwa mara. nikiingia ntazikuta.
 
Crazy gk - sauti ya manka
J nature - mtoto idi
Ay - yule
Fa - unaowa lini
Mandojo n domo - dingi
Kikosi cha mizinga- amazangu ama zao
Sister p - achana nao
Banana zoro - mama yangu
Roma - mechi za ugenini
Joslin - niite basi
Tunda man - neila
Fid q - mwanza
Aisee, ni shidaaaah
Mkuu unaweza kuattach audio tuziskize hapahapa... Kama inawezekana lakini
 
nimetengeza ka playlist haf nimeweka nyimbo 2 tu. kuna chizoba na utu ya Ali kiba.

ndo nimelala nazo na kuamka nazo na bado naskiza mpaka muda huu.
Achana na hizo, utaanza kujitengenezea fake scenarios utajiliza mpaka basi😃
 
Fally ipupa- mayday ( kama unapenda rhumba lakini)
 
Skiliza pia sensational romix., Ya rotimi
Upate vibe asubuhi asubuhi ( kama una dem lakini😂😃😃)
 
Back
Top Bottom