I'm about to watch POWER SEASON FINALE
LEGEND OF THE SEEKER-ni bonge la sirieas mkuu kalicheki na hili.Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
nani kamuua ghost jamani!??
Ghost hajafa..
dah nlitaka nshangae, ngoja kesho nkaishuse... sa mbona wameititle ghost is dead
Natafuta series ya blacklist atakayenipa tunaweza kubadilishana na series ambazo ninazo kama fringe breaking bad Empire ,scandal na nyinginezo
Nimeona, alikua anambembeleza Angie, kuwa He's no longer a ghost, he's now James St.Patrick
imeishia pazuri kinoma.... ghost anataka kuquit lakinu kajitengenezea maadui kibao, almost wote wanaomzunguka wamegeuka maadui kabakia na angie wake
imeishia pazuri kinoma.... ghost anataka kuquit lakinu kajitengenezea maadui kibao, almost wote wanaomzunguka wamegeuka maadui kabakia na angie wake
Ghost ana maadui, kuanzia mke wake, Tommy, Lobos, na yule Ex-partner wa Angie, haa safi sana...Kanaan alizingua kumuua mwanae kiboya vile
Shwan alikuwa doro sana..bora wamemuondoa tu..hapo kwenye maadui muongeze kanan..nadhani hajafa
Hahaa I think He Broke Out kwenye ule moto..Kanaan noma sana. Lakini Shawn ntammiss na ile nidhamu yake ya woka Like "Uncle G"
Ghost ana maadui, kuanzia mke wake, Tommy, Lobos, na yule Ex-partner wa Angie, haa safi sana...Kanaan alizingua kumuua mwanae kiboya vile
Hivi wamesema kama watakuja na SEASON 3 maana kama haijaisha vizuri.
Hahaa I think He Broke Out kwenye ule moto..Kanaan noma sana. Lakini Shawn ntammiss na ile nidhamu yake ya woka Like "Uncle G"
shawn alizingua mwenyewe lurud kwa kanaan wakat kashindwa kazi, mi ntamiss mikunjo yake tu na Tasha lol!!! afu Tasha anajua Ghost ndo kamuua mchizi yani hapo ni noma!!! hiyo number ya haters kwa Ghost kibongo bongo ningeama mji, bora nkakae namtumbo huko wasinifate
Teh teh..shawn soft sana..Tasha sijui alikolea na nn pale..kanaan inabidi aendelee kuwepo aisee..
Teh teh..shawn soft sana..Tasha sijui alikolea na nn pale..kanaan inabidi aendelee kuwepo aisee..