Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..
LEGEND OF THE SEEKER-ni bonge la sirieas mkuu kalicheki na hili.
 
Natafuta series ya blacklist atakayenipa tunaweza kubadilishana na series ambazo ninazo kama fringe breaking bad Empire ,scandal na nyinginezo
 
Hayahaya wale tunaoangalia THE STRAIN, mnaionaje hii show?
 
Attachments

  • 1439748303371.jpg
    1439748303371.jpg
    56.5 KB · Views: 171
Nimeona, alikua anambembeleza Angie, kuwa He's no longer a ghost, he's now James St.Patrick

imeishia pazuri kinoma.... ghost anataka kuquit lakinu kajitengenezea maadui kibao, almost wote wanaomzunguka wamegeuka maadui kabakia na angie wake
 
Sure..nadhani ghost na angie Hawana jinsi..inabidi washirikiane tu ili wasiende jela au kuuliwa..
 
imeishia pazuri kinoma.... ghost anataka kuquit lakinu kajitengenezea maadui kibao, almost wote wanaomzunguka wamegeuka maadui kabakia na angie wake

Ghost ana maadui, kuanzia mke wake, Tommy, Lobos, na yule Ex-partner wa Angie, haa safi sana...Kanaan alizingua kumuua mwanae kiboya vile
 
Shwan alikuwa doro sana..bora wamemuondoa tu..hapo kwenye maadui muongeze kanan..nadhani hajafa
 
Hahaa I think He Broke Out kwenye ule moto..Kanaan noma sana. Lakini Shawn ntammiss na ile nidhamu yake ya woka Like "Uncle G"

Teh teh..shawn soft sana..Tasha sijui alikolea na nn pale..kanaan inabidi aendelee kuwepo aisee..
 
shawn alizingua mwenyewe lurud kwa kanaan wakat kashindwa kazi, mi ntamiss mikunjo yake tu na Tasha lol!!! afu Tasha anajua Ghost ndo kamuua mchizi yani hapo ni noma!!! hiyo number ya haters kwa Ghost kibongo bongo ningeama mji, bora nkakae namtumbo huko wasinifate
 
Wakuu natafuta Soundtracks za Power, ikiwezekana Kuanzia Season 1 mpaka 2, nimetafuta kwenye torrents hazipo.
 
Teh teh..shawn soft sana..Tasha sijui alikolea na nn pale..kanaan inabidi aendelee kuwepo aisee..

He is carering sana, kitu ambacho hutupumbaza wanawake, na itakuwa alimpiga dyudyu classic akadata.
 
Back
Top Bottom