Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ila hii scene kwenye Squid Game 2 ndio ilinichekesha. Imagine unapewa hii uchonge na usikosee😂😂
Screenshot_2024-12-28-16-49-45-270_org.videolan.vlc.png
 
Na yule mwamba kila akirusha jiwe anakosa hadi kajikojolea ndo akapata 😂😂
Alipewa lawama za kutosha pale na Kuna yule mwana kwenye ule mchezo wa kurusha kete juu na kuzidaka alijichagua yeye ndo atacheza, wahuni wakamuuliza we mchezo wa kike unaujuaje mani 😂

Akajitetea kwamba kwao kulikua na wanawake wengi hivyo alikua anacheza nao. Wakasema fresh mani 😎

Wakati wa kucheza sasa jamaa kacheza fresh kuliko hata wanawake, unajua wahuni walimuangalia kwa namna kwamba mwanetu we umetuhama wewe 😂😂 si bure!
 
Back
Top Bottom