Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sikuhizi gharama za uigixaji zipo juu hapa ndio squid gme imeishia?

Nimemis series zilikuwa na episode kuanzia kumi kwa season moja. Unaanglia mpaka unatosheka
Screenshot_20241229-092952.png
 
Sikuhizi gharama za uigixaji zipo juu hapa ndio squid gme imeishia?

Nimemis series zilikuwa na episode kuanzia kumi kwa season moja. Unaanglia mpaka unatoshekaView attachment 3187546
Mbona ukitaka series yenye episode hata 300 bado zipo mkuu. Shida ni hao watu wa Squid Game. Hiyo season na jinsi ilivyokuwa nzuri wangefanya hata kama episode ziwe 12 ila wafikie muafaka.
Kwa series ya namna hii sidhani kama Season 3 ni lazima. Zingekuwa mbili na wangekata kiu yote maana kila episode inafurahisha na kila mtu alikuwa anajua hili game linatakiwa liwe shut down. Sasa wao wanaishia njiani.
Mi nilivyoona tu episode ya 7 muda mwingi wanaspend kwenye action za bunduki na ndo episode ya mwisho nilijua tu itaishia kati. Yani kama nusu saa hivi ni shooting tu hakuna kingine, nikaelewa uhuni wanaotaka kutufanyia watazamaji 😆😆
Na ukute walishaigiza episode zote hadi mwisho tayari ila ni vile tu kuna ka idea ka ku maximize profit kamewajia.
LINEAR PROGRAMMING 😏
 
Jamaa wamepiga sana pesa na watazamaji ila bado kidogo tu ivunje rekodi ya shogun na the penguin ngoja tuone mpaka kesho itakuwaje
 
Back
Top Bottom