Series (Special thread)

Nimeangalia Episode moja ya season two kuona episode ya pili mpaka itoke nitachelewa nimetafuta Manga ilipi aiseee hii anime kali mkuu
Sema ndio hivyo tena na Episode zitakuwa chache.

Jaribu Jujitsu Kaisen kama hujaicheki.
 
Hii landman mbona naona kama imepoa sana , hadi episodi ya 3 sioni matumio ya maana zaidi ya mlipuko mmoja ulio enda na wale jamaa wa cooper [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…