Series (Special thread)

Hii landman mbona naona kama imepoa sana , hadi episodi ya 3 sioni matumio ya maana zaidi ya mlipuko mmoja ulio enda na wale jamaa wa cooper [emoji848][emoji848]
Imepoa haina vitu vingi lakini mimi nimekomaa nayo hadi Episode ya 8 naona taratibu imeanza ku catch attention yangu
 
Mkuu hii sio series ya kivita, huku wanazungumzia umafia fulani hivi wakibepari. Kama unapenda bunduki full risasi hii achana nayo
Mi napenda matukio sana , mtu ang'olewe jino, au mmoja ale chuma ya kichwa mapema sana , yani kiufupi damu imwagike iwe kwa chuma au kwa ngumi ya pua [emoji2][emoji2]

Kama gang of london matukio yake yalivyo, si ya kujutia kuicheki.
 
Jack Ryan inakufaa ndugu yangu
 
Internet iko stable nimeunga jana.

Kama speed iko chini angalia monthly traffic imefika ngapi
Nliwapigia simu jioni hii ndio imekuwa stable aisee hapa ngoja nishushe movie na series
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…