Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hii mbona ni kama ile iliyo nishinda? Series wanapigana kwa kutumia kofia?Aliuliza swali zuri sana View attachment 3195737
Kofia ziliwekwa wembe sema humo watu wanagongana sana ππHii mbona ni kama ile iliyo nishinda? Series wanapigana kwa kutumia kofia?
Mtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]Naam season kalii sana mie nimempenda yule dada ambae ni rafiki yake Ryan alikuwaga kwenye movie Moja hivi inaitwa limitless unaijua hiyo movie?
Naam itafute na limitless utaenjoy sana ndugu yangu π πMtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]
Hivi huyu uzuri wake uko sehemu gani? Au ndo uzuri upo machoni mwa mtuBianca kwenye Moja na mbiliView attachment 3195847
Mkuu ushawahi kuzichapa demu blaki?Hivi huyu uzuri wake uko sehemu gani? Au ndo uzuri upo machoni mwa mtu
Mtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]
Ningekuambia kazi yangu na wanawake ninaokutana nao.. ila no shit, bianca hana uzuri huo mnaomsifiaMkuu ushawahi kuzichapa demu blaki?
πππNingekuambia kazi yangu na wanawake ninaokutana nao.. ila no shit, bianca hana uzuri huo mnaomsifia
Hapa sasa ndio umesema π
Episode ya 1 ilikua imepooza sana nikaipotezeaEarth abides imeisha nimesikitika sana yaani sana EP 6 tu Nalia Mimiππ
πππππMie nimemaliza Leo hadi wamezeeka etiEpisode ya 1 ilikua imepooza sana nikaipotezea
Hizi zote nimechekiTV-Series Zinazohusisha Majeshi.
- Seal Team
- Band of Brothers
- The Unit
- The Terminal List
- SIX
- The Brave
- Airwolf
- NCIS
- Over There
- Our Girl
- Tom Clancy's:Jack Ryan
- Last Resort
- Surviving the Cut
- Pensacola:Wings of Gold
- 68 Whiskey
- Valor
- Strike Back