Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ila lile toto ni zuri aisee, lile jicho Yale mapozi na ile lafudhi aisee.Mkuu K ni kila kitu๐ ๐ , tusiichukulie poa kabisa mbususu a.k.a punani ndo chanzo cha sisi kula kwa jasho
Ipe muda bosi series kalii sanaHii The Agency nimepita na Episode ya kwanza ila sijaielewa kabisa.
Ni kama wanaleta Mambo za Love story.
K kitu muhimu sanaMkuu K ni kila kitu๐ ๐ , tusiichukulie poa kabisa mbususu a.k.a punani ndo chanzo cha sisi kula kwa jasho
Series kalii sanaNdo nainyonya kwa sasa taratibu, haya macho hadi yakome[emoji1][emoji1]
Tumeisubiri sanaNaona MCU wanataka kuachia msimu mpya wa series ya Daredevil march 4 mwaka huu
Naona MCU wanataka kuachia msimu mpya wa series ya Daredevil march 4 mwaka huu
Oyaa huu mwaka hatupoi!
Naam KabisaOyaa huu mwaka hatupoi!
Hii severance imepoa saaaaaana, naimalizia season one sijui kama nitaendelea kuifatiliaSeverance nayo season 2 itaanza kuachiwa kesho Jan 17, itakua inatoka episode 1 kila ijumaa.
Hii inahitaji utulivu sana ๐๐Hii severance imepoa saaaaaana, naimalizia season one sijui kama nitaendelea kuifatilia
Hii ni kwa watasha tu. Itakuwa uliexpect more than a story.Hii severance imepoa saaaaaana, naimalizia season one sijui kama nitaendelea kuifatilia