Mwenyezi Mungu akakufanyie wepesi katika kila gumu unalolipitia Vincenzo Jr, it's going to be just fine..!!πKesho lazima kaka ila nimepata changamoto kubwa mno wiki hii sina Raha na series Wala movie
Shukrani sana ndugu yanguMwenyezi Mungu akakufanyie wepesi katika kila gumu unalolipitia Vincenzo Jr, it's going to be just fine..!!π
Vitu vya wkend hivi
Hii ni ile ile au imetoka nyengine mpya?
Severance msimu wa kwanza uliishia pazuri sana. Nasubiri mzigo wote ukamilike niupakue, mambo ya kuonjeshwa taratibu yalishanishinda.
Hadi Mimi kakaSeverance msimu wa kwanza uliishia pazuri sana. Nasubiri mzigo wote ukamilike niupakue, mambo ya kuonjeshwa taratibu yalishanishinda.
Waingereza hapa walizingua sema hii ndio the night agent nayo wameiga matukio mengi ya humu kesho the night agent inadondoka msimu wa piliHivi hii wamegoma kabisa kutuletea season 2?
Nilikwambia kaka hii series kalii sana π₯ ile ulioitoa telegram Ina subtitles?Aisee Vincenzo Jr hili chuma ulilo leta humu limekidhi vigezo vyote. Director kwenye episode 2 amenikosha mnooo. Ngoja nisonge nayo shukrani sana
View attachment 3210468
Full package with dual audio. Sema ningepata quality ya juu zaidi ningeinjoi zaidi. Yani sitamani iishe ππNilikwambia kaka hii series kalii sana π₯ ile ulioitoa telegram Ina subtitles?
Napenda sana jamaa alivyokua anambandua huyu minister, nilikua nikitazama naenda kurudia kama vile kwa wifi yenuπ€
Horror hii na haka kabinti ili ukafaidi cheki the idol humo kagongwa sana na lolimodo wangu the WeekndView attachment 3210486aliyeicheki hii ipoje?
Movie nzuri sana hiiTutegemee Escape Room 3 mwaka huu 2025, tarehe not confirmed
View attachment 3210825
Hii season 2 yake imetoka?