Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ujinga wa hii series kuna mapenzi ya kitoto kama wahindi, pia full kuchekacheka kama wana genye wakati kila muda wanapelekeana moto yaani very boring.....but storyline is fantastico🍺
Acha utani basi. Hii niliipenda licha ya hayo mambo unayo yasema

1737714456077.png
 
Back
Top Bottom