Series (Special thread)

Series (Special thread)

BAD MONKEY nilianza kwa kuichukulia poa. Lakini ukitulia ukavuka episode ya kwanza, ni nzuri.
 
hiii better call saul nimechelewa sana kuitazama
BCS inaingia kwenye series zangu bora za muda wote, one of the best 🔥. Kuna siku ilinifanya nikeshe.

Actually ungeanza na BB kisha ukamaliza na BCS. Ila kama hukuangalia kabisa BB basi ukimaliza BCS pita na BB, utakuja kuleta mrejesho.

The rest, enjoy na show!
 
Hapo muongezee na el Camino
 
Back
Top Bottom