Series (Special thread)

Series (Special thread)

Season 2 inapigwa mtama na michezo miwili tu ya season 1.
Red light green light
Na ule wa kuruka kwenye vioo

Hapo sijaunganisha visa vya matatizo ya kifamilia vinavyo wasibu washiriki wa michezo. N.k yule mama aliye achiwa mtoto kwenye season1 alitia fora sana
Mkuu. Season ya 2 nzuri sana, tusubiri tuone mwisho wake. Mimi naona Lee season 2 amekichafua sana sana pia.
 
Wakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo
 
Westerners series zao huwa wana undermine uwezo wa warusi kimkakati ili kuleta propaganda kwamba wao ni bora zaidi na warusi hakuna kitu.

Ila ukitaka uhalisia angalia series moja inaitwa American humo ndo utaelewa Russia habari nyingine
 
Yap hiyo nimeicheki kidogo na ninayo naivutia kasi
Mule wamefanya vizuri na hata kwenye series ya McMafia na slow horses pia ziko vizuri kwenye mizani,
Ila kwenye hii the Agency urusi imekua kama Congo kimedani aagh.
 
Wakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo
Wamelipa kisasi maana kwenye the Americans wameonewa sana
 
Back
Top Bottom