Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo
Kumbe uliliona hili.

Hasa kwenye Mapenzi pale wamezingua Sana. Mapenzi yana nguvu Sawa ili sio vile
 
GANGS OF LONDON SEASON 3
inatoka mwezi march
 

Attachments

  • Screenshot_20250129_200519_X.jpg
    Screenshot_20250129_200519_X.jpg
    49.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom