Series (Special thread)

Series (Special thread)

GANGS OF LONDON SEASON 3
inatoka mwezi march
Watuletee na hii. Series za wa English huwa zina ldha ya tofauti. Kwanza kimalikia kincho zungumzwa humo na lafudhi yake mambo huwa murua kbisa
1738255839350.jpeg
 
Korean Movie: Dirty Money
Itafuteni hii movie inahusiana na Polisi wawili waliokuwa wanafuatilia case ya crime yenye pesa ndefu ambayo imesababisha jamaa mmoja kuuwawa kutokana na kuwa na shida zao binafsi wanajikuta wanavunja Sheria au maadili ya kipolisi nakujikuta wanaingia tamaa za kufuatilia mchongo wa hizo hela ili zikatibu shida zao binafsi bila kujua chimbuko la hizo pesa Nini? Watu gani wapo behind na hatari zinazoweza kuwakuta.
Ngoja niitafute
 
Sasahivi nafatilia kazi za nyuma kidogo ila za wagumu ili nipate ladha adimu za kibishi. Nipo na
1. Daredevil
2. Mayor of Kingstown.

Kama hukufanikiwa kuziona fanya juu chini uzitazame
Mayor nzuri. Mishen town na namna ya kujipatia kipato nje y mfumo rasmi
 
Back
Top Bottom