Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio kaka Kila season na mishe yakeHivi kila season ina mission yake au zinaingiliana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kaka Kila season na mishe yakeHivi kila season ina mission yake au zinaingiliana?
Ndiokumbe s2 ishatoka
S2 haina mvuto wowote series Genres Crimes ikianza kuwapa kipaumbele Sana wanawake na issue ni za counterintelligence inapoteza mvuto kabisaNdio
Ngoja tuone season 3 itakuwaje ndugu yanguS2 haina mvuto wowote series Genres Crimes ikianza kuwapa kipaumbele Sana wanawake na issue ni za counterintelligence inapoteza mvuto kabisa
Kalii sanaAmerican Primeval 🔥
Aaha nimeona siielewii nitarudi tena siku nyingineKalii sana
Season 1 uliicheki😃😃Aaha nimeona siielewii nitarudi tena siku nyingine
S1 na 2 zilikua kali. Hii sasa sijui ni sababu nilikua na mambo mengi.. maana imenichukua muda kuimaliza.Mayor of Kingston - S04 wapo stage ya production kwa sasa.
View attachment 3214947
Itakuwa ulikuwa na harakati nyingi😃😃S1 na 2 zilikua kali. Hii sasa sijui ni sababu nilikua na mambo mengi.. maana imenichukua muda kuimaliza.
Last time hii series sikuielewa kabisa, kipindi hiko nilikua jobless movie pekee nilizokua nazielewa ni za kivita tu. Ngoja niirudie nione kama nitaipendaMayor of Kingston - S04 wapo stage ya production kwa sasa.
View attachment 3214947
Nzuri sana hiyoLast time hii series sikuielewa kabisa, kipindi hiko nilikua jobless movie pekee nilizokua nazielewa ni za kivita tu. Ngoja niirudie nione kama nitaipenda
Nimekumiss enzo akeNzuri sana hiyo
Hadi Mimi hujambo upo gudi ephen_Nimekumiss enzo ake
Mpe na mchezo basi sio unaishia kumpa maneno matamu tu😎Nimekumiss enzo ake