Series (Special thread)

Wakuu hivi Power book3 Raising kanan wamesema kuna season 4 kweli maana jinsi ilivyoisha imeacha maswali na wakati huohuo wametoa hii Power book4 Force
 
Nilijua watamaliza Raising Kanan yooote ndo waanze Force kumbe katikati tu apo wamerukia book4

Hizo ni spin-off tofauti...

Moja ikielezea maisha ya Kanan (50 Cents) kabla hujamuona kwenye Power ile ya Ghost...

Wakati nyingine ikielezea harakati binafsi za Tommy baada ya kifo cha Ghost...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…