Series (Special thread)

Basi bana mi nilivyo ona jina POWER nikajua labda ni yale mambo ya uchawiuchawi farasi kuruka na kupaa kama tai? Kumbe unyama mwingi humu ndani?
 
Pamoja na ukauzu wangu wa kukwepa series za kitoto lakini hii one piece na otter banks nilishindwa kuzikwepa. Ninaisubiri season two kwa hamu
 
Wazee wa LQ yani Low Quality hivi ni site gani au app gani tofauti na Moviebox yenye uwezo wa kupakua series yote kwa one click

Kuna mtu ameniomba hapa nikasema ngoja niingie chimbo kwa wataita wa hizi kazi ambao hata kwa bajeti ya mb400 anauwezo wa kushusha series nzima.

Sema anataka ku download series ila yale mambo ya kuokota kamoja kamoja ndio hayataki ye anataka akigusa mguso mmoja tu tayari season kaikamilisha.

Vincenzo Jr , Mr Q
 
Umenishusha sana we mwana simba mi sio wa LQ 😁😁😁 ngoja vincenzo aje alete site
 
Atumie onstream
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…