Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Basi bana mi nilivyo ona jina POWER nikajua labda ni yale mambo ya uchawiuchawi farasi kuruka na kupaa kama tai? Kumbe unyama mwingi humu ndani?Nimemaliza
Power book 1,2 na 3 nipo power book 4 Force season ya pili hope naona ndo walipoishia kutoa muendelezo.
Nmeanza kudownload Snowfall vp wakuu ni kali nayo?
NB:Hizi power najutia kuchelewa kuangalia ni kigongo haswa hasa hii Force kwangu ni kali ikifatia na Raising Kanan