Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
unakumbuka utotoni ukiitwa kula inavyokuwa..??Naomba hii Paradise msiisifie sana, nasubiri imalize kisha niishushe. Naomba tusitiane majaribuni nikadondokea dhambini😂
Ikiwa ugali utaskia tu, 'Carleen, unaitwa'..!
Ikiwa ubwabwa unaskia, 'Carleen, shauri yako'..!
hapo ndiyo pahala miguu hufika kwa kisogo,
Na Mimi nasema, 'shauri yako'..!😂😂