Series (Special thread)

Series (Special thread)

Naomba hii Paradise msiisifie sana, nasubiri imalize kisha niishushe. Naomba tusitiane majaribuni nikadondokea dhambini😂
unakumbuka utotoni ukiitwa kula inavyokuwa..??
Ikiwa ugali utaskia tu, 'Carleen, unaitwa'..!
Ikiwa ubwabwa unaskia, 'Carleen, shauri yako'..!
hapo ndiyo pahala miguu hufika kwa kisogo,

Na Mimi nasema, 'shauri yako'..!😂😂
 
Nmemaliza series ya Snowfall yote leo kesho Mungu akipenda nataka nishushe chuma kingine. Hii series ni kali sana
Screenshot_2025-02-25-22-00-26-17_1777aca9866606b841802a2ba7070a8e.jpg
 
Ukipata muda icheki

Nitaitafuta. Itakuwa wamebeba vema contents za kitabu cha mwamba Alexandre Dumas. Huyu jamaa kitabu chake kimekopiwa na kutengenezwa vitabu na movies kibao mpaka basi. Wengine wamecopy mpaka karibia story nzima, wakabadilisha majina ya watu na maeneo ya matukio tu.

Nakumbuka hata mwanangu Lee Child, mwandishi wa riwaya za Jack Reacher (saivi tunaenjoy series kali ya Reacher iliyotokana na vitabu vyake) kuna kitabu chake nilisoma kitambo kidogo...yaani chote ni 'the Count of Monte Cristo' tupu.
 
Back
Top Bottom