Series (Special thread)

Habu Vincenzo Jr ingia mitamboni
 
Habu Vincenzo Jr ingia mitamboni
Kuna scene moja niliipenda sana huyo criminal alikamatwa na polisi akapelekwa kwenye kituo cha polisi kwaajili ya mahojiano akafanikiwa kuchoropoka akafanya balaa sana humo na mwahalifu mwingine ambapo alikuwa kwenye selo akamsaidia kwenye kumtajia sehemu walipo jiposition baadhi ya polisi wakati anafanya balaa lake na kwa kweli jamaa akafanikiwa kuua polisi wote kwenye hicho kituo alivyomaliza yule mhalifu alikuwa anategemea jamaa atamfungulia na yeye aescape cha ajabu msela akamfungia vioo dah nilicheka
 
Ep5 nimangalia jana usiku. Mwamba anatatua matatizo pande mbili. Sehemu alipo na anatakiwa kwingine pia awepo kutatua tatizo. Yani ni hekaheka
Ni balaa sana kaka sema yule mdosi akimdaka kaisha
 
Mkuu nimetafuta kote naona sioni kitu mzigo upo Netflix tu aisee nimelia sana hapa Cc Mr Q
 
Kuna kila dalili Night Agent ikanifanya nikeshe siku mbili tatu😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…