Series (Special thread)

Inawezekana ila kwa app za movie atumie Netflix tu onstream ataisikilizia kwenye bomba
Kwenye swala la ap watajijua wenyewe. SI WAMASEMA UKIMILIKI EPO unakuwa na hela zaidi ya sisi wa android gadgets? Sasa watumIe hizo hela ku subscribe huko netflix, hulu, apple n.k
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Dah mkuu, napenda vya mb chee ila sio hivi sasa, unakua unaona vivuli tu vinakimbizana.

Nkiri quality sio ya juu ila unaona bila shida kinachoendelea, inatuweka mjini kwa wale tulio na mabando ya jerojero ikifuatiwa na fzstudios πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ilikuwepo nyingine 9ija sijui nini huko. Mb chache ila muvi inakuwa na quality mpaka unashangaa. Ila saivi unashusha episode yenye MB 450 dakika 43 na bado quality unakuta sio nzuri kivile.
 
Dah fz studios nilitumia sana miaka ya 2015 ilini okoa mno yaani πŸ˜ƒ kule pazuri mno Kila series na movie zipo 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…