Series (Special thread)

Series (Special thread)

Inawezekana ila kwa app za movie atumie Netflix tu onstream ataisikilizia kwenye bomba
Kwenye swala la ap watajijua wenyewe. SI WAMASEMA UKIMILIKI EPO unakuwa na hela zaidi ya sisi wa android gadgets? Sasa watumIe hizo hela ku subscribe huko netflix, hulu, apple n.k
 
😄😄😄
Dah mkuu, napenda vya mb chee ila sio hivi sasa, unakua unaona vivuli tu vinakimbizana.

Nkiri quality sio ya juu ila unaona bila shida kinachoendelea, inatuweka mjini kwa wale tulio na mabando ya jerojero ikifuatiwa na fzstudios 😄😄😄😄
 
Ilikuwepo nyingine 9ija sijui nini huko. Mb chache ila muvi inakuwa na quality mpaka unashangaa. Ila saivi unashusha episode yenye MB 450 dakika 43 na bado quality unakuta sio nzuri kivile.
 
Season ya 3 imeeshaanza kutoka
 
Attachments

  • 20250313_130505.jpg
    20250313_130505.jpg
    598.8 KB · Views: 2
😄😄😄
Dah mkuu, napenda vya mb chee ila sio hivi sasa, unakua unaona vivuli tu vinakimbizana.

Nkiri quality sio ya juu ila unaona bila shida kinachoendelea, inatuweka mjini kwa wale tulio na mabando ya jerojero ikifuatiwa na fzstudios 😄😄😄😄
Dah fz studios nilitumia sana miaka ya 2015 ilini okoa mno yaani 😃 kule pazuri mno Kila series na movie zipo 😎
 
Back
Top Bottom