Series (Special thread)

Wakuu nipeni ushauri nitafute series gani nzuri yenye ucomedy na pia series ya mambo ya kizamani(historia) lakini zisiwe za kikorea
 
Wakuu nipeni ushauri nitafute series gani nzuri yenye ucomedy na pia series ya mambo ya kizamani(historia) lakini zisiwe za kikorea

Spartacus
Da Vinci demons
Rome
Game of thrones
Black sails
Vikings
Marco polo
Cross bones
Atlantis
Sinbad
Legend of the speaker
Anza na hizi mkuu zote za kizamani Ancient stories
 
Last Ship ni one of my best series kwa 2014... naisubiria kwa hamu season 2... sambamba na Power as well as Legends huku nikiisubiria kwa hamu January 28 kwa ajili ya Season 3 ya The Americans ambayo kwangu mimi ndo best pure spying series.

Yah The last ship iko vizuri sana ndio naendelea kuiangalia
Mwaka 2014 niliangalia series mpya mbili
Outlanders na when calls heart
Azikunishika mpaka zaidi ya zile nnazoendelea kuziangalia 24,the American na viking ingawa hii viking imeniboa huko mbele.
Hata the Americans naona kama inalost plot maana covert operations sio nyingi sana kwenye s02...kama ilivokuwa kwenye pilot s01
 
Spartacus
Da Vinci demons
Rome
Game of thrones
Black sails
Vikings
Marco polo
Cross bones
Atlantis
Sinbad
Legend of the speaker
Anza na hizi mkuu zote za kizamani Ancient stories

Hiyo legend ilianza vizur but haikuisha siipendi duu mkuu wew wa longi kinoma hiz series za kitambo
 
Hivi homeland si ndo ile ya cornel Brody aliyetekwa Afghanistan sijui then wakahisi kafa then akarudi akiwa kabadili maamuzi???
 
Hiyo legend ilianza vizur but haikuisha siipendi duu mkuu wew wa longi kinoma hiz series za kitambo

Yah nimeanza kuwatch kitambo,for sure legend of the seeker nilijitahid mpaka season three fiction zikazidi ikaniboa nukaweka kapuni vipi nawe unapenda series za ancient stories!
 

I like it
 

Ile season ambayo rafiki wa Brody yule nigga sniper anasumbua akitaka mdungua MTU mpaka Brody anakuwa approached na makamu wa rais amuunge mkono kwa kampeni ili aje awe waziri wa ulinzi ni season ya ngapi
 

Huo mchezo wa kuirudia ndo kama mm aseee...hapa sahivi hizi series zimesimama nimeanza upya kuitazama live another day...
 
Km ulipenda 24 angalia na homeland iko poa mbaya

Homeland hilikuwa nzuri s01 tu huko mbele walipoteza sana plot walipoanza kuleta mapenzi....
Hila ni nzuri kwa kuangalia lakini baadaye inabore hakuna kama 24 mjomba
 
Homeland hilikuwa nzuri s01 tu huko mbele walipoteza sana plot walipoanza kuleta mapenzi....
Hila ni nzuri kwa kuangalia lakini baadaye inabore hakuna kama 24 mjomba

Season 1 ilikuwa poa huko kwingine Mara inavutia mara inaboa
 

Season two sikutazama na three sikupata mzuka nayo ingawa I had it.
Walker alikufa pale alipopigwa shaba na Sargent Brody???
 
Guys kuna mtu ambae ashawahi tazama "under covers" ambayo Boris kodjoe na gugu mbatha raw wameigiza as Hus n wife ambao ni CIA??? Na wanapiga zile operations pamoja???me nilitazama season moja tu ilikua na episodes 13 sijawahi iona tena ila niliipenda kwakweli.
Anyone mwenye idea hiii
 

Series nyingi ni Vitabu ambavyo vilishaandikwa wao wanachofanya ni kuput in practice,shooting ndio inayocost sana kwa maproducer
 

Kaka script writer wa Hollywood wote wameenda shule ya hiyo kitu ndo maana kuna ushindani mkubwa wa script writer,mfano JJ Abram ni producer aliyeanza hiyo kitu siku nyingi sana na hua habahatishi angalia series zake za Lost,Allies,Nikita,Fringe,Alcatraz etc,hizi series zote km zinaendana vile na amebobea kwenye finction na action so kuanda script za aina hiyo kwake sio ishu,story hawatoi kuchwani ila wanaongeza vitu kutokana na utaalamu walionao
 

Chige, kazi ya producer ni kuhakikisha anatengeneza script ya tukio huu ndo msingi mkuu wa maproducer wote,ndo maana nimekutolea mfano wa JJ Abram ambaye mm namkubali kuliko hata wale waliotengeneza 24 na Prison break maana ni km waliziotea zile na hawakuproduce series angalau zilizoendana na zile za awali.
 

Chige nahisi hujanielewa nilichosema awali, ishu sio kua na series zinazofanana nyingi maana haiathiri km story ni tofauti.hizo series ulizozitaja hazijatoka wakati mmoja na script writer sio mmoja zote,Homeland kitabu chake ni prison of war na ilioneshwa kwa mara ya kwanza October 2011,Tyrant ilikuja kuanza June 2014 lakini aliyeandika script ni Gideon Raff but Gordon alikuja kuidevelop na sio mwandishi wa awali,Legend hii imeandikwa na watatu Gordon akiwepo nayo imebased on the same book called Legend,hii ilianza kurushwa August 2014.sioni point yako ya show kupwaya au kugawa plot ya homeland ije Legend wakati zimetoka miaka tofauti theme km zingekua zinafanana hapo ningesema ameiga theme
Alias na Nikita ndo zinafanana almost kila tukia maana zote JJ Abram anamkono,Alias yuko mwadada mrembo Sydney ambaye alikua chini ya secret branch ya C.I.A iliyoitwa Sd-6 km kwenye Nikita alivyokua chini ya secret branch Division,kwenye Nikita kuna " C.I.A BLACK OPS" km ilivyo kwenye Alias,kwenye Nikita division inaundwa kinyemela chini ya mzee Percy (achana na Amanda) na kwenye Alias inaundwa kinyemela chini ya mzee Sloanes ambaye ana mikogo sawa na Percy wa Nikita.
Nikita orijino ilikua 1990 ambayo ilitokana na french film km ilivyo kwa series ya XIII iliyotokana name French film,then series ya La Femme Nikita mwaka 1997 ndiyo iliyoibua Nikita series hii tunayoangalia,hizi ni series 2 zinafanana sana but kila moja inautamu wake.
Ndiyo maana nikasema namkubali sana huyu producer kwa kuweza kuzitendea Haki even though zinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…