Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mkuu series gani ulipata mengi ya kujifunza
desparate house wives
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu series gani ulipata mengi ya kujifunza
Wakuu nipeni ushauri nitafute series gani nzuri yenye ucomedy na pia series ya mambo ya kizamani(historia) lakini zisiwe za kikorea
Last Ship ni one of my best series kwa 2014... naisubiria kwa hamu season 2... sambamba na Power as well as Legends huku nikiisubiria kwa hamu January 28 kwa ajili ya Season 3 ya The Americans ambayo kwangu mimi ndo best pure spying series.
Spartacus
Da Vinci demons
Rome
Game of thrones
Black sails
Vikings
Marco polo
Cross bones
Atlantis
Sinbad
Legend of the speaker
Anza na hizi mkuu zote za kizamani Ancient stories
Hiyo legend ilianza vizur but haikuisha siipendi duu mkuu wew wa longi kinoma hiz series za kitambo
Yap.....ndio hiyo.Hivi homeland si ndo ile ya cornel Brody aliyetekwa Afghanistan sijui then wakahisi kafa then akarudi akiwa kabadili maamuzi???
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
hizo ni baadhi tu
Homeland Season 4 ilianza kwa kupooza sana to the point kama sio mpenzi wa hiyo series unaweza kuiacha... hata hivyo, baada ya kufika Episode ya 6, dah... hatareeee! Sema kama kawaida yao siku hizi, na yenyewe episode ya mwisho wametuzingua sana safari hii though bado inatia hamu kusubiria Season 5.
24 haina mpinzani na sikutaka kuiweka kama ni my best for 2014 kwa kuwa nililenga kutaja series mpya kama hizo Power, Legends na Last Ship. Hiyo 24 nimeirudia rudia zaidi ya mara nne na bado ninapokosa new series huwa na-pick any season na kuangalia...
Km ulipenda 24 angalia na homeland iko poa mbaya
Talk of Tom Walker... ilikuwa ni Season 1 ile pale Tom kwa makusudi alipokosea kulenga shabaha na kwa bahati mbaya risasi ikampata asiyekusudiwa! Lengo la kujikosesha shabaha ikiwa ni kuwataka wale wageni maalum wakajifungie emergency room na kwavile hiyo ingetokana na hatari iliyopo, basi hata suala la security check lisingefanyika! Lengo hasa ikiwa ni kumpa nafasi Sargent Brody aliyekuwa amevaa suicide vest, akapate nafasi ya kujilipua huko huko emergency room na kuleta maafa kwa viongozi wote ambao walikuwa wamejifungia huko wakikimbia assassination attempt ya Tom Walker!
Unajua nadhani kinachochangia wakati mwingine hawa waandaji wamezidi kujihusisha na project nyingi kwa wakati mmoja... hapa nawazungumzia... hapa nawazungumzia Howard Gordon, Alex Gansa na Gideon Raff. Ukimchukulia mtu kama Howard Gordon, yupo kwenye Homeland, Legends na Tyrant... wakati ideally, zote hizi zipo kweney same genre. Na ka kuwa zamani huyu Howard alikuwa kwenye team ya 24 Developers, sitashangaa nikisikia hata huko nako hapotei! Ukija kwa Gideon Raff, nae yupo kwenye Homeland and Tyrant... Na asikuambie, kazi ya kuandika ni ngumu sana coz' sehemu kubwa ya matukio ya kwenye movie/series yanakuwa created na waandishi...
Hata kama ni kitabu bado kazi ipo pale pale! Chukulia movie kwa mfano, script (standard format) ni page 120 wakati vitabu/novel vya wenzetu zinakuaga pages 300 na kuendelea! Na hiyo standard format ya page 120 kama unaiweka kwenye mtindo wa novel, zitakuwa chini ya page 100 coz' script ina plain areas nyingi sana... now from page 300+ to less than 100...
Hiyo moja, lakini uandishi wa script na vitabu ni tofauti... wakati vitabu/novel unasimulia script unaonesha! So, advantage pekee ya kutumia vitabu ni kwa kuwa idea tayari ipo (huu ndo mgogoro wenyewe) na baadhi ya matukio vile vile yanakuwa yapo... all you need is to keep them in script form lakini kazi ipo pale pale. Labda sema, series kama Homeland zamani ilitoka kama POW nchini Israel... hii kazi yake haiwezi kuwa kubwa sana ingawaje suala la kuondoa na kuingiza matukio mapya litabaki pale pale.

Issue sio kuandika script... issue ni kuandika script zaidi ya moja kwa wakati mmoja, zenye theme moja lakini kwa show tofauti tofauti.. ndio maana nikatoa mfano wa Howard Gordon. Ukiangalia Homeland, Tyrant & Legends... hizi show ni zaidi ya kuziita kwamba ni same genre lakini hata mlengo wake unafanana! Kwamba, unaweza kuchukua tukio la kwenye Legends na ukalipeleka Homeland au la Homeland ukalipeleka Tyrant. Kutokana na hilo, lazima kuna show itapwaya coz' unalazimika kuzigawa plots ambazo zingeweza kuwa kwenye show moja na badala yake unalazimika kuzipeleka kwenye show zaidi ya moja... matokeo yake, unakuwa na scenes chache ambazo ni bangs na kuishia kujazia jazia kukamilisha season! Chukulia Homeland Season 4 kwa mfano, out of 12 episodes, zaidi ay nusu wametuzingua! Na kiukweli ni episode 6,7, 8 na 9 pekee ndiyo zilikuwa na msisimko!!!!