Series (Special thread)

Yeah ni horror ila sio deep kivile

Ina kastory fulani hivi kanakofanya mtu awe curious kuzidi kuangalia ili ajue nini kilichofanyika hadi mtu fulani awe na nguvu za super natural.
Movie box Inzingua link ya kupakuwa series
 
Japanese series: Kidnapped game

Series ambayo inahusiana na mchezo Fulani wa kifo hupo hivi wanatekwa watu kwenye nchi au miji tofauti wapendwa wao wa hao watu waliotekwa wanaingizwa kwenye huo mchezo wa kifo kupitia application wanashurutishwa wafanye baadhi ya mambo mbalimbali wakishindwa wapendwa wao waliotekwa wanauwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ