Series (Special thread)

Series (Special thread)

Itafute kwa jina hili
Hapa nahofia kui update nisije kukutana na kisanga
View attachment 3692119
Nilikuwa naipitia hii Browser nikafungua website yao nikakutana na huu ujumbe.

TRA ni wahuni kabisa, walipoona jamaa wamekuja na mifumo ambayo ni secure wakaona itawapa shida kuwa monitor raia kwenye harakati zao za utekaji.

Wakaona waje na hiki kikwazo
Screenshot_20261017-174325.png
 
Rate yake?
Maana hizi new series naogopa sana kuziangalia zisije zikanipotezea muda
Sitaki kuharibu utamu wa MOBLAND
Ni nzuri mno hii series, ina rate ya 8.3
1792340280206.png


Mobland nimeangalia episode 3 za season 2 nimeona ina alosto sikutaka niendelee kuangalia kamoja kamoja kila baada ya wiki, nasubiria mpaka Nov 20 ikamilike yote ndio ntakuja kuimalizia.
 
Back
Top Bottom