Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu hii brave mnatumiaje kwangu imefungiwa hata kwa vpn siipati
Itafute kwa jina hili
Hapa nahofia kui update nisije kukutana na kisanga
Screenshot_20261016-225846.png
 
Nimeimaliza hii miniseries ni nzuri ila mwishoni imeniacha na swali moja tata sana.

Kama sio swali basi ni bumbuwazi nadhani mwandishi kwa hii script katuacha wengi na utata labda kama itakuwa na season 2

1792184876371.png
 
Back
Top Bottom