Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,215
- 9,719
Ngoja nianze nayo hiyo CARRIE tuione itakuaje?Ni nzuri mno hii series, ina rate ya 8.3
View attachment 3693133
Mobland nimeangalia episode 3 za season 2 nimeona ina alosto sikutaka niendelee kuangalia kamoja kamoja kila baada ya wiki, nasubiria mpaka Nov 20 ikamilike yote ndio ntakuja kuimalizia.
Mobland kali sana chifu