Series (Special thread)

Series (Special thread)

Night agent season 2 ni upuuzi mtu
Aloo kweli?

Sikuwahi kabisa kuwa na mzuka na hiyo series.

Hata The Black List wakivyoanza kuweka zile animations kwenye season 8 (kama sikosei) nikaachana nayo.

Kuna series kadhaa nilizianza nazo kwa bashaha nikajikuta nimeishia katikati baada ya kuona ile excitement imepungua.
 
images.webp

🍿
 
Back
Top Bottom