Series (Special thread)


intelligence na scandal
 
Kaa chini tulia tafuta kitu kianaitwa "Empire" hii ni guarantee...Lakini kama unapenda complex series unaweza watch Ray Donovan, Fargo na House of Cards..Series za kawaida unaweza cheki Revolution, Tyrant, Crisis, Scandal, Arrows etc etc
 
tafuta series inayoitwa banshee, aisee ni noma maana ni two in 1 kwa maana ina action na pia ina sex scene si mchezo. ipo kama strike back kwa wanaoijua strike back ila hii banshee strike back anakaa. tafuta japo episode 2 au 3 kisha utaikubali mwenyewe
 
How to get away with murder
24hrs live another day
24hrs
Person of interest
Bones
Devious housemaids
The lieing game
Prison break
Desparate housewives
Friends to lovers
 
Wala vumbi kumbe mnapenda vitu vya majuu eeeh?

Safi sana.

Ila acheni unafiki wenu basi.
 
Wala vumbi kumbe mnapenda vitu vya majuu eeeh?

Safi sana.

Ila acheni unafiki wenu basi.

We mbeba mabox na mchamba mavi vijizee majuu kumbe unapitaga huku rudi kwa washambenga wenzako MMU.

safi sana

Ila acha ushambenga basi
 
We mbeba mabox na mchamba mavi vijizee majuu kumbe unapitaga huku rudi kwa washambenga wenzako MMU.

safi sana

Ila acha ushambenga basi

We ni mla vumbi, mkanyanga tope, mng'atwa mbu, au mnuka kikwapa?

Au vyote kwa mpigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…