Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mulemule wala ujakosea...vyote kwa mpigo tena kwapa langu linatema hilo mpaka nkapewa bure ile yenye kigolori ya kupaka...sijui diodarati...duh

Sasa huko mavumbini unazionaje hizo series wewe?

Kuna Xfinity huko? HD je?

Btw, lile box la X1 DVR with Cloud Technology ni bab kubwa.

Lazima u-google hiyo mbwa wewe:biggrin::biggrin:

GO :usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2: GO!!
 
I think he will be imprisoned coz marisol alimuona akiirudisha ile facemask...I hope character yake itapotea probably i always thought the guy was creepy!Anaupole waajabu :lol:

Ile ni mental case hata sio upole,kulazimisha vitu kwa kwenda extreme kabisaa.....mi alikuwa ananiweka roho juu sana wala sitaki awepo tena....! Marisol nae jamani kumtesa baba wa watu a-confess,si yaishe?....ila wale maids ni devious kwa kweli,one minute gold diggers,then private detectives,black mailers,bado mateso ya chini chini....sio bongo tu,hawa watu ni shughuli
 
Other marriages wr never ment to be kwakweli, hata mie nilikuwa natamani sn wawe pamoja

I agree kwa kweli, nafurahi sasa wako wote...nadhani hata in real life naonaga hivyo hivyo....mtu anapendana na kimada mpaka unajiuliza alitishiwa kifo akaoa mke wake au ni nini?
 
Yaani akifa cdhani km nitaipenda tena

Mi kusema kweli sitaangalia tena ila labda vile Naya Rivera anakuja labda tutapata mtu mwingine wa kumpenda....mama celebrity wanna be nae hope atapata bwana wa kumfanya star
 
I agree kwa kweli, nafurahi sasa wako wote...nadhani hata in real life naonaga hivyo hivyo....mtu anapendana na kimada mpaka unajiuliza alitishiwa kifo akaoa mke wake au ni nini?

The story of ma life, teh teh teh
 
Mi kusema kweli sitaangalia tena ila labda vile Naya Rivera anakuja labda tutapata mtu mwingine wa kumpenda....mama celebrity wanna be nae hope atapata bwana wa kumfanya star

Yaani inabd niirudie devious tena maana nshaanza kuisahau
 
Ile ni mental case hata sio upole,kulazimisha vitu kwa kwenda extreme kabisaa.....mi alikuwa ananiweka roho juu sana wala sitaki awepo tena....! Marisol nae jamani kumtesa baba wa watu a-confess,si yaishe?....ila wale maids ni devious kwa kweli,one minute gold diggers,then private detectives,black mailers,bado mateso ya chini chini....sio bongo tu,hawa watu ni shughuli
Yule jamaa alikuwa mental case kweli si uongo akinyata ghafla anazuka huyo,out of nowhere....Marisol alikuwa detective mzuri dah...mapenzi mateso muache Nicholas deering atiwe adab bana....angekuwa muwazi tu mtafaruku usingetokea!!!But all these dramas makes it all exciting!!Ana Ortiz nilimuona mwanzo kwenye serie ya "UGLY BETTY" nkampenda tangia hapo muigizaji mzuri!
 
Sasa huko mavumbini unazionaje hizo series wewe?

Kuna Xfinity huko? HD je?

Btw, lile box la X1 DVR with Cloud Technology ni bab kubwa.

Lazima u-google hiyo mbwa wewe:biggrin::biggrin:

GO :usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2: GO!!

Series sijawai kuangali

Mie bwana wa kisamvu nikibadilisha mboga basi mapupu...kwani izo xfinity zinauzwa duka gani ebu nielekeze...
Kwani clauzi fm radio ya ruge wametoa muvi mpya inaitwa cloud technology?

Naniu kwani Google nao wanafuga mbwa....
 
Teh teh teh

Vipi umekosa buku jero ya kununulia dawa ya mbu?
 
Inahusu nini hio being mary jane??

Gabrielle Union stars as Mary Jane Paul, a wildly successful TV reporter who is searching for love in all the wrong places.

[FONT=arial, sans-serif]BET's first hour long scripted drama is a follow-up to the same-titled TV movie that premiered on the network in the summer of 2013. The series returns Gabrielle Union to the lead role of Mary Jane Paul, a successful cable news anchor who has a closet packed with designer clothes and shoes, a beautif[/FONT]ul home, a nice car, and the drive to achieve even greater heights. Yet something is missing. As Mary Jane looks to start a family of her own to share life's greatest gifts, she discovers who she really is and the people who help define her.
 
Nitaiangalia from now hata sisubiri lool!Inaonekana iko makini!
 
Back
Top Bottom