Series (Special thread)

Series (Special thread)

How to get away with murder
24hrs live another day
24hrs
Person of interest
Bones
Devious housemaids
The lieing game
Prison break
Desparate housewives
Friends to lovers

Naipenda sana Devious Maids na person of interest
 
We ni mla vumbi, mkanyanga tope, mng'atwa mbu, au mnuka kikwapa?

Au vyote kwa mpigo?

Mulemule wala ujakosea...vyote kwa mpigo tena kwapa langu linatema hilo mpaka nkapewa bure ile yenye kigolori ya kupaka...sijui diodarati...duh
 
Imenishinda kabisaa,madam president bado kabisaa....labda episode za mbele,hizi za kwanza sijavutiwa

We itakuwa una mtazamo tofauti mbona madam president ndio anapewa credit sana kuliko hata huyo Charlie.... Maana amecheza vizuri nafasi yake hata mie namkubali but plot ya muvi ndio inamlazimisha hawe vile na ameuvaa uhusika wake ipasavyo
Charlie ndio anaikosesha credit hii muvi sababu ya matabasamu yake kutokana na asili yake ya ucheshi anashindwa kumantain usiriasi.

Tatizo hili lipo hata kwa Actor Channing Tatum ambaye ni mpole sana na amepooza anapokuwa kwenye camera angalia muvi zake nyingi utakiona icho kitu but anapata dili nyingi za muvi sababu ya body yake tu.
 
Kwa kweli mimi wala sikatai nina mtizamo tofauti....nimezoea standard za Olivia Pope (Scandal) na Viola Davis (How to get away with murder)...Charlie nilipomuona tu nikasema kama hii ni intelligence series haitoenda....madam president namkubali kwenye nyingine ila hii bado,labda episode za mbele.
 
sana jamani na katoto kake,na mume wa mtu....he he he he, innocent and evil at times
Haaa tangia amfume yule mama mwenye nyumba akibanjuana na mtu mwengine kwann ajibane bana mke mwenyewe hamuappreciate mumewe,nilikuwa namuonea huruma yule mwanaumel!I was like yeah rosie go for it!Ooppss i didnt say tht loud....:behindsofa:Forgive my evil thoughts!I think pia rosie atamsaidia mr spence kumlelea mtoto wake vizuri zaidi yule mrs hata kubeba mtoto wake anaona kichefchef!
 
Afadhali maana duuh? Yaani rose kichaa nimekumbuka pale alipomzuia mr spence asiseme 'my god' alafu yeye aliponogewa akajikuta amesema hivyohivyo. Cant wait

Mi anavyoongea tu na yale macho yake basi nafurahi....kampata Spence mpole basi anam-control jamani,ila nawapenda pamoja
 
Haaa tangia amfume yule mama mwenye nyumba akibanjuana na mtu mwengine kwann ajibane bana mke mwenyewe hamuappreciate mumewe,nilikuwa namuonea huruma yule mwanaumel!I was like yeah rosie go for it!Ooppss i didnt say tht loud....:behindsofa:Forgive my evil thoughts!I think pia rosie atamsaidia mr spence kumlelea mtoto wake vizuri zaidi yule mrs hata kubeba mtoto wake anaona kichefchef!

Ha ha ha haaaaaa, hizo evil thoughts nadhani tunazo wengi,imagine mi hata Scandal napenda Olivia anavyopendana na president,though its wrong but its also beuatiful....kwakweli Spence ashikilie pale pale manake naona hata budgeting anafundishwa na maid sasa....hapana chezea power ya mwanamke
 
Kabisa...The woman ni fullpackage hana mbwembwe,ulezi anaueza,mahabati nibebe yumo!Wife material kabisa I hope watafanikiwa lkn ilikuwa na dramatic end kwenye harusi i hope rosie is not shot na yule crazy psycopath of a boy!
 
yaani awe tu hai, anapendwa mno kwa hii series....lile psychopath lisirudi tena
 
Mi anavyoongea tu na yale macho yake basi nafurahi....kampata Spence mpole basi anam-control jamani,ila nawapenda pamoja

Hahahaa! Umenikunbusha hayo macho yake ukiongezea na ule uongeaji basi balaa tupu, ila wanapendezana sn
 
yaani awe tu hai, anapendwa mno kwa hii series....lile psychopath lisirudi tena
I think he will be imprisoned coz marisol alimuona akiirudisha ile facemask...I hope character yake itapotea probably i always thought the guy was creepy!Anaupole waajabu :lol:
 
Ha ha ha haaaaaa, hizo evil thoughts nadhani tunazo wengi,imagine mi hata Scandal napenda Olivia anavyopendana na president,though its wrong but its also beuatiful....kwakweli Spence ashikilie pale pale manake naona hata budgeting anafundishwa na maid sasa....hapana chezea power ya mwanamke

Other marriages wr never ment to be kwakweli, hata mie nilikuwa natamani sn wawe pamoja
 
Back
Top Bottom