Series (Special thread)

Kweli kabisa..ila majaribu kama hayo naomba Mungu hayaepushie mbali kwa upande wangu..mana ntafanya hekaheka hiyo..kesho yake lazima uisikie clouds fm..anipe tu ya kipimo changu..

Amen Amen....na ikitokea Mungu akupe wepesi,ufanye lililo jema. Manake ubaya wa hasira utafanya la kuumiza mmoja ila madhara yake yatakuumiza wewe na uwapendao wengi kama familia.
 
He he he he he...maskini Brad,si kila kitu kinabadilishika,ngumu kumeza ila some ways ni za watu fulani tu....kile nacho kipaji na majaliwa....asije akaenda extreme,ajitahidi tu ila asijiumize akimng'ang'ania Alex.....once u go black.....!
 
Sure..ni ka-cute.. usinifanye nikabadili mawazo yangu kwa esperanza

Sanaaaa halafu baba yake ndo mwenye mgahawa.....hapana chezea....wenye bahati zao...ye na yale macho yake nae....basi tena...maisha ya geto yasije mnyimia riziki,manake anavyosumbuana na vijana wenzie kuna saa napata hofu.
pale kwa mtoto wa kishua huendi....we will do anything usifike pale,she is too good....wewe ni Alex
 
Ha ha haaa....We jitulize na Esperanza wako upambane na psycopath Eddie ka vile atakuachia ule utam wake...

Eddie nae kwa kujidai jamani,mwanaume yule kiboko yake arudi basi,mi ananichekeshaga anavyotembea kwa kujiamini....lol,jinga sana
 
He he he he he...maskini Brad,si kila kitu kinabadilishika,ngumu kumeza ila some ways ni za watu fulani tu....kile nacho kipaji na majaliwa....asije akaenda extreme,ajitahidi tu ila asijiumize akimng'ang'ania Alex.....once u go black.....!
Ha ha ha ni kweli mama si kila kitu kinabadilishika sugari guru ina utam wake na ya kawaida tofauti!!!Lakini naamini kama if their love is strong enough it will survive it!!
 
Ha ha ha you saw dem sleeping eyes ehh....Nimependa mama chokoraa alipotoka akawawekea biti wale vijana anatisha.....:yield:
 
Ha ha ha you saw dem sleeping eyes ehh....Nimependa mama chokoraa alipotoka akawawekea biti wale vijana anatisha.....:yield:

Do let me go back to my old days.....lol...sijui alikuwaje nae yule?? wangeonyesha za nyuma kama empire....lol
 
jamani,mbona ukiwatizama mashoga kama Jamal na vipaji vyao wanavumilika tu....Bora hata wa Empire,kuna series inaitwa The have and the have nots ,huyo shoga wa hiyo ni balaaa,unaweza acha series

Na hicho ndicho wanachokitaka wamarekani...wanajua ushoga unapingwa thats why wanawapa scenes ambazo can do the best wakubalike hence ushoga ukubalike...oooh yeah he is gay but very talented musician. ..blah ...blah...
 
I agree na ndio maana sasa wapo almost kila mahali kwenye series na movies zao....!
 
Sawa Mrs lucious,naachana nae...ila Joey kukubalika kwa yule mzee itakuwa kazi sana
 
Ha ha ha ni kweli mama si kila kitu kinabadilishika sugari guru ina utam wake na ya kawaida tofauti!!!Lakini naamini kama if their love is strong enough it will survive it!!
kusurvive kwa lile penzi ni pamoja na kumuondoa randol..as so far as randol yuko around,still watakuwa na connection.. na moja ya kiunganishi kitakuwa mtt..
 
kusurvive kwa lile penzi ni pamoja na kumuondoa randol..as so far as randol yuko around,still watakuwa na connection.. na moja ya kiunganishi kitakuwa mtt..
Lets hope for a miracle and pray the baby is Brad´s!!Randol will be out of the picture,or what do you think?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…