Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Ha ha haaa....We jitulize na Esperanza wako upambane na psycopath Eddie ka vile atakuachia ule utam wake...
Kwenye mapnz kila mtu baunsa..hata Tyson unaweza kumuona ni miss..eddie simuogopi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa....We jitulize na Esperanza wako upambane na psycopath Eddie ka vile atakuachia ule utam wake...
:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:Kabisa nilivyofurahi acha!!!Nafuta ile kauli ya yule bibi nuksi...mkwe wangu huyu :eyebrows:
Ahhh...wapi tutazikana mi na baby wangu!!:lol::lol::lol:Basi sawa..ila Usije ukamkataa tu mbeleni
Kweli kabisa..ila majaribu kama hayo naomba Mungu hayaepushie mbali kwa upande wangu..mana ntafanya hekaheka hiyo..kesho yake lazima uisikie clouds fm..anipe tu ya kipimo changu..
Ni kweli kabisa bora kasema ukweli coz kama wata work out the relationship he needs to improve in that area coz before Brad thought she liked it only one way the old fashion way but the girl liked it nasty lol!!!Dah jamani Travis akili zinapevuka lol kanifurahisha when he said "HE IS TRYING TO GROW AND BE A MAN"!!Uwiiiiiii:A S-heart-2:
Cc raylee
Sure..ni ka-cute.. usinifanye nikabadili mawazo yangu kwa esperanza
Ha ha haaa....We jitulize na Esperanza wako upambane na psycopath Eddie ka vile atakuachia ule utam wake...
Basi sawa..ila Usije ukamkataa tu mbeleni
Ha ha ha ni kweli mama si kila kitu kinabadilishika sugari guru ina utam wake na ya kawaida tofauti!!!Lakini naamini kama if their love is strong enough it will survive it!!He he he he he...maskini Brad,si kila kitu kinabadilishika,ngumu kumeza ila some ways ni za watu fulani tu....kile nacho kipaji na majaliwa....asije akaenda extreme,ajitahidi tu ila asijiumize akimng'ang'ania Alex.....once u go black.....!
Anajiona bonge la thug na bad boy shaaaa:lol::lol::lol::lol:Eddie nae kwa kujidai jamani,mwanaume yule kiboko yake arudi basi,mi ananichekeshaga anavyotembea kwa kujiamini....lol,jinga sana
Ha ha ha you saw dem sleeping eyes ehh....Nimependa mama chokoraa alipotoka akawawekea biti wale vijana anatisha.....:yield:Sanaaaa halafu baba yake ndo mwenye mgahawa.....hapana chezea....wenye bahati zao...ye na yale macho yake nae....basi tena...maisha ya geto yasije mnyimia riziki,manake anavyosumbuana na vijana wenzie kuna saa napata hofu.
pale kwa mtoto wa kishua huendi....we will do anything usifike pale,she is too good....wewe ni Alex
Ha ha ha you saw dem sleeping eyes ehh....Nimependa mama chokoraa alipotoka akawawekea biti wale vijana anatisha.....:yield:
Anajiona bonge la thug na bad boy shaaaa:lol::lol::lol::lol:
jamani,mbona ukiwatizama mashoga kama Jamal na vipaji vyao wanavumilika tu....Bora hata wa Empire,kuna series inaitwa The have and the have nots ,huyo shoga wa hiyo ni balaaa,unaweza acha series
Na hicho ndicho wanachokitaka wamarekani...wanajua ushoga unapingwa thats why wanawapa scenes ambazo can do the best wakubalike hence ushoga ukubalike...oooh yeah he is gay but very talented musician. ..blah ...blah...
Sanaaaa halafu baba yake ndo mwenye mgahawa.....hapana chezea....wenye bahati zao...ye na yale macho yake nae....basi tena...maisha ya geto yasije mnyimia riziki,manake anavyosumbuana na vijana wenzie kuna saa napata hofu.
pale kwa mtoto wa kishua huendi....we will do anything usifike pale,she is too good....wewe ni Alex
kusurvive kwa lile penzi ni pamoja na kumuondoa randol..as so far as randol yuko around,still watakuwa na connection.. na moja ya kiunganishi kitakuwa mtt..Ha ha ha ni kweli mama si kila kitu kinabadilishika sugari guru ina utam wake na ya kawaida tofauti!!!Lakini naamini kama if their love is strong enough it will survive it!!
Lets hope for a miracle and pray the baby is Brad´s!!Randol will be out of the picture,or what do you think?kusurvive kwa lile penzi ni pamoja na kumuondoa randol..as so far as randol yuko around,still watakuwa na connection.. na moja ya kiunganishi kitakuwa mtt..
yeah..i see it coming...lets keep our fingers crossedLets hope for a miracle and pray the baby is Brad´s!!Randol will be out of the picture,or what do you think?
Sawa Mrs lucious,naachana nae...ila Joey kukubalika kwa yule mzee itakuwa kazi sana