Series (Special thread)

Ivi jamany naonaga awards za movies,miziki yan kibao na izi tv series zina awards kama zipo tufahamishane
 
Person of interest iko season 4 the 100 season 2 ndo imeisha tunasubiri msimu mpya kama unapenda ancient stories Game of thrones ndo best ever series!
Mkuu napenda makitu kama twenty 24hrs.kwa sasa ninaangalia homeland... Na blacklist tayari suggest nyingine za mrengo huo. Mambo ya terrorist na Cia ndio nayamind mnoooo au mafia..
 
Tafuta the americans huta juta the story behind cold wars ndio habari ya mjini
 
Mkuu napenda makitu kama twenty 24hrs.kwa sasa ninaangalia homeland... Na blacklist tayari suggest nyingine za mrengo huo. Mambo ya terrorist na Cia ndio nayamind mnoooo au mafia..

Strike back,person of interest, missing,breaking bad,scorpion,hostage,Nikita, Hawaii 5, Gotham,last resolt,Banshee mkuu anza na hizo!
 
Kwa wale wapenzi wa movie and series kuna hii application inaitwa "show box" humo unapakua bila tatizo, yaani kiulainiiiiiiii mpaka raha aani. Lakini application haipo Google market wala Google play. Kitu unakipata kwa Google search, chrome, opera na sehemu nyingine za kusearch kwa kawaida. Ukishai install utapata request nyingi za ku update. ...usichoke update kadri zinavyokuja lakini mwisho wa siku hautokuja kujutia hii app. Nisike mimi uone kama hautajuta kuifahamu time hizi, yaani kama ungeijua kitambo hivi...
Uzuri wa hii application inakuletea mpaka movie zilizotoka jana..au ambazo zimeachiwa hata leo..enjoy t..kwa maswali na msaada karibu if uko interested na hii kitu.
Nb:not about jokes. . Serious
 

Umetisha sana boy...iko poa sana hii.nishaitumbukiza kwenye simu..nakula vyombo tu now
 
Umetisha sana boy...iko poa sana hii.nishaitumbukiza kwenye simu..nakula vyombo tu now

Good. But next time better use a word kiongoz au mkuu au ndugu. Coz I am not a boy ndugu yangu.. but usijali. Enjoy the show box and welcome in the world of kula bata na show box. Gnite basi
 
Kwa kuwasaidia zaidi nimetupia link hapa chini ambapo wanaweza kudownload "showbox app apk file"...

BOFYA HAPA KUPAKUA "SHOWBOX"

BOFYA HAPA KUPATA MAELEKEZO NAMNA YA KU-INSTALL

 
Naona Jon snow atakuja kuwa king wa North. Naona season 5 ya Game of thrones imekuja vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…