Series (Special thread)

Kwa hiyo hizo movie ukidownload unaangalizia tu kwenye simu basiii au tablet au unazihamisha

Unazihamisha kwa USB cable au bloototh to computer then unaweza ziweka kwenye cd flash,external disk au unaangalizia kwenye tv kwa kuunaunganisha simu na TV kwa kutumia USB cable!
 
Kwa hiyo hizo movie ukidownload unaangalizia tu kwenye simu basiii au tablet au unazihamisha

Inategemea bi mkubwa upo na simu ya aina gani na teknolojia gani pia...

Kuna wengineo ambao video content ikiwa katika simu hatuna haja ya kuhamisha bali tunafanya kitu kinaitwa mirroring (i'm using chromecast dongle)...

Simu inabroadcast video content kwenda kwa TV screen na unaitazama instantly...

Otherwise unaweza ukahamishia kwa kompyuta through USB port na then ukawatch from there...

Au uhamishe kwa tablet au umalizie utamu huko huko kwa simu...
 
Mkuu upo wapi? How much?
 
ray lee Michelle,mnadhani miss kelly anaweza kuhimili vitimbi vya travis maana kakwepa busu jamani nimependa travis alivyoongea na justice!!
 
Last edited by a moderator:
Naona Jon snow atakuja kuwa king wa North. Naona season 5 ya Game of thrones imekuja vizuri sana
Mkuu yani leo nimefurahi sana baada ya kuikuta game of thrones season 5 kitambo sijapita humu hata sikuwa aware kama imetoka hivi hapa ndio inamalizika kushushwa na hii ni first thing tomorrow morning, John Snow is such a fighter I like him, Pia Khaleesi mother of Gragons nampendaga sana humu I hope anaendelea vema pia na Dragons zake.
 
Kuna hii series mpya #AMERICAN_ODYSSEY kama kuna mtu anaicheki ndio kwanza imetoka hadi episode ya pili sasa, Y a kwanza nimeicheki, binafsi nimeipenda hasa the fact kwamba Nchi za Kiislam zinahusika. Movie zote ambazo wamarekani wameigizia nchi za kiarabu ama tamaduni za kiislamu binafsi huwa nazipenda sijui kwa nini... Humu ndani kuna Islamic State of Mali in Africa. Jaribuni kuiona It seems to be a good series. BTW Tyrant lini jamani kwenye ratiba? na Revolution nayo kimyaa?
 
Why does Randol calls peppa and check up on her instead of his lovely wife?
Marcie kadata anataka kumlala mpaka Brad sasa!!Hasira za mkizi lol
 
Mkuu season 5 wametoa episode 4 iko vzr khaleesi anakutana na traitors but Yuko very firm kikubwa nachokiona stanis like anamuogopa anataka apate allie kutoka kwake that why anamshawishi aache Knight watcher akapambane kuirudisha north (wenterfell) akihaidi kumsaport ashide wakati ye ndo ananguvu kwa sasa!
 
ray lee Michelle,mnadhani miss kelly anaweza kuhimili vitimbi vya travis maana kakwepa busu jamani nimependa travis alivyoongea na justice!!

Miss kelly umenichekesha jinsi ulivyokwepa lile busu..hiyo style yako nimeipenda gafla
 
Last edited by a moderator:
Why does Randol calls peppa and check up on her instead of his lovely wife?
Marcie kadata anataka kumlala mpaka Brad sasa!!Hasira za mkizi lol

If that will make her happy acha afanye tu kwakweli..she went through alot..asije akachizi dada wa watu..randol nadhani mpaka akifa ndo ataelewa kuwa mke wa mtu ni sumu..somo bado halijamuingia now
 
If that will make her happy acha afanye tu kwakweli..she went through alot..asije akachizi dada wa watu..randol nadhani mpaka akifa ndo ataelewa kuwa mke wa mtu ni sumu..somo bado halijamuingia now
Randol katoa baruti pale alipoachiwa ha ha ha…..Na namuona yule jamaa hayupo sawa kama yupo brainwashed apart from all of tht lkn bado kamngangania peppa tu khaa……ananichefua!!
 
Randol katoa baruti pale alipoachiwa ha ha ha…..Na namuona yule jamaa hayupo sawa kama yupo brainwashed apart from all of tht lkn bado kamngangania peppa tu khaa……ananichefua!!

Wale sijui walikuwa wanapeana nn??...hata alex naona still ana feelings kwa randol..anajaribu tu kupingana na moyo wake
 
Wale sijui walikuwa wanapeana nn??...hata alex naona still ana feelings kwa randol..anajaribu tu kupingana na moyo wake
Mahaba niue.....Si umeona pale alipokuwa anaweka kwenye gari na Psyco Eddie,peppa alivyokuwa akimtetea eti wasimpelekeshe haresist!!Brad imemuuma dah.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…